Mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Welayta Dicha utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi, April 07 2018.
Tayari viingilio vya mchezo huo vimewekwa hadharani ambapo Jukwaa la VIP A kiingilio itakuwa Tsh 15,000/-, VIP B na C Tsh 10,000/- wakati mzunguuko ikiwa tsh 3,000/-
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni pia utakuwa mubashara kupitia Azam Sport 2

No comments:
Post a Comment